Habali zenu humu ndani,
Zikiwa zimebaki siku 8 kufanyika kwa uchaguzi mkuu hivi ndivo nimejipanga kukabiliana na swala zima la uchaguzi.
Wewe umejipanga vipi?
Tafadhali ongezeni umakini, Gazeti la leo tarehe 19 Oktoba 2020.
Kwenye habari unasema jana, maana yake 18 Oktoba 2020
Lakini ukweli ni Mechi ya Uingereza vs Ubelgji ilikuwa 11 Oktoba 2020
Na jana...
Wan Bissaka Muingereza mwenye asili ya Kongo anayechezea Manchester united na timu ya taifa Uingereza. Kwenye picha hapo chini akituliza mpira kifuani kimada haa kama bolingo.