tunapoelekea watanzania watakuwa hawaendekezi tena pilau kofia na t shirt wanazohongwa na ccm . kwa hio watakaokuaj kwa hiari yao ccm wataambulia mabo kama haya
Hii picha ya Waziri Mwakyembe akipanda train imeibua mawazo mengi kichwani mwangu.Mawazo hayo yameibuliwa si kwa kitendo cha waziri huyo kupanda train, bali ni namna gani anapanda au kukwea kwenye...