my trip to ngoro ngoro crater, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

my trip to ngoro ngoro crater,

Discussion in 'Jamii Photos' started by zanga, Jun 15, 2012.

 1. z

  zanga Senior Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  DSC00021.JPG DSC00005.JPG DSC00036.JPG DSC00043.JPG DSC00039.JPG DSC00046.JPG DSC00052.JPG DSC00055.JPG DSC00024.JPG DSC00017.JPG DSC00028.JPG DSC00064.JPG DSC00081.JPG DSC00176.JPG DSC00087.JPG
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Ghalama zake zikoje mpaka kufika huko?
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  zanga mbona sikuoni naoma wazungu tu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. z

  zanga Senior Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hapa hairuhusiwi kushuka, nilikua na camera kwenye gari lingine, ndio nikaweza kupiga picha, i hope hao wazungu watakua na picha ambazo mie nipo, hapa panaitwa mawe ya simba
   
 5. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  nilifika hapo aisee...kuna kaubaridi flan kakiutofauti sana hapo....af simba wa hapo wapo kama wakishua hivi hawana tabu na viwanyama vidogo vidogo...so nice....
   
 6. z

  zanga Senior Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  kuingia hapa ngoro ngoro unakua unatokea karatu, pale kwa mheshimiwa Dr Slaa, kutoka karatu hadi geti la kuingia ngoro ngoro ni nusu saa, , kama una private car unalipa sh 10,000 unalipia gari, then sh 1,500 kwa kila mtu, kuhusu hoteli kuna hoteli ambazo zipo kwenye crater ream, kama sopa lodge, ambazo gharama zake zina anzia dola 300 na kuendelea, ila una weza kupata hoteli hapo karatu kwa dola 150, then unaingia crater unarudi kulala karatu,gari za kuingia crater unaweza kukodi hapo karatu, haitazidi dola mia, ila kama una kodi gari kutoka arusha ni dola 150, crater ni kubwa ina bidi upate guide, huyu utamlipa elfu 20, na kutoka arusha hadi karatu ni masaa ma tatu, hpope nime eleweka kiongozi
   
 7. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Poa sana
   
 8. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Zanga umesahau kuwakumbusha kwa wanaoenda na magari private kuwa lazima iwe 4WD
   
 9. z

  zanga Senior Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  yep pana baridi sana, ni zaidi ya meter 3000 kutoka usawa wa bahari, gues ni kama 4500m kwenye crater ream, ili niweze kulala nilijifunika blanket 3 na shuka, then niliwekewa heater, kama haitoshi nilipewa na kama mpira hivi ulijazwa maji ya moto sana, ukilala una ukumbatia, its a wonderful place
   
 10. z

  zanga Senior Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  yeah, sure lazima iwe 4WD,
   
 11. z

  zanga Senior Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  kwa wale ambao hawajawahi kufika, hili ni shimo, ndani ya shimo hilo kuna wanyama ndio kama una vyo ona, nilipata historia kwamba shimo hili lilitokana na kuzama kwa mlima, yaani hapo palikua mlima mkubwa, cna uhakika na hilo, kwa yeyote mwenye kujua ukweli juu ya hii crater atupe habari.
   
 12. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Ziara za hatari kama hizo usizirudie tena...
   
 13. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Ngorongoro inapendeza. Thanks kwa taarifa. Tutajipanga nasi tutembelee huko.
   
 14. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,048
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
 15. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kwa kuokoa gharama kwa watu wa mikoani unaweza ukalala Arusha asubuhi ukaanza safari saa nne utakuwa umeshaingia ngorongoro creater unazunguka mpaka saa tisa then unapanda unaweza kurudi arusha au ukalala karatu kuna vyumba kiwango kizuri ni kuanzia elfu 20 kumbuka kubeba chakula creater hakuna huduma yeyote zaidi ya kuona maajabu ya dunia
   
 16. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Thanks kwa taarifa nzuri!!

  More motivated now to be there one day!!

  Hahaha, Acha kututisha mkuu!!

  Mkuu umenipa moyo, gharama zilikuwa zinatisha aise!! I will be there in december 2012.
   
 17. Baba Sharon

  Baba Sharon JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mkuu hizo bei nilizobold ni za zamani sana kwa Karatu ndio unaweza pata gari kwa $150 ila kwa Arusha ni ngumu sana kwa day trip ya Ngorongoro Crater kupata gari haswa hizi Land Cruiser zenye Pop up roof kwa hiyo bei naongelea uzoefu maana nipo kwenye hizishughuli..
   
 18. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  na rangi je...lazima ziwe jungle color sio bright colors
   
Loading...