Man Butchers Girlfriend, R I P

Man Butchers Girlfriend, R I P

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093


man-machete-girlfriend_1.jpg



Wakuu hii imetoke Bahamas, Habari ndio hii, RIP Ms. Nellie Brown Cox
​
 
Hata Sio mke ni GF?hii Mijitu mingine ikoje? I hope atakamatwa!
 
Mshkaji anastahili kuchukuliwa hatua kali sana maana hata panga lake linaonyesha amedhamiri kuua kwa maneno yake ya kebehi aliyoandika
 
Haija msaidia kitu huyo muuwaji, zaidi sana imemletea matatizo maishani mwakeHekima na Busara zikitumika chini ya uangalizi wa Mungu, hakuna linaloharibika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom