Majina Mengine Ya Nguo Balaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina Mengine Ya Nguo Balaa!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndallo, Jun 7, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Natumaini bongo zimeshaingia hizi!
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaa si mchezo brand hii kwa bongo kichefuchefu!!
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hii ukininunulia natoa Lable ndipo navaa!
   
 4. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  They need to learn abit more about Global Branding! Huu ni ujinga kabisa...
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Sasa naona wazungu wameishiwa Brand names za kwenye nguo mpaka wameingia na majina ya kibongo!
  [​IMG]
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Naona ile adha ya kuhalalisha Ukameroon is coming to soon!
  [​IMG]
   
 7. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wabongo wanavyopenda attention watavaa hata T-shirts zake ambazo nadhani zitakuwa na maandishi makubwa zaidi ya haya ktk hizi jeans.
   
 8. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 670
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  Sioni tatizo hapo, kwako tusi kwa wenzio sio issue. Kwani akija yule kiongozi toka Japan Mr. KUMAMOTO fikiria namna ambavyo tutapata shida kuliandika hilo jina kwenye vyombo vyetu vya habari lakini kwa Wajapani hiyo sio issue kabisa!
   
 9. fakenology

  fakenology JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  nakusapot mkuu.
  hata hivyo hizo jeans adabu nshawah kuipata mtumbani
   
 10. KML

  KML JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  io ukivaa lazma na wewe unye
   
 11. M

  Mzee Kipara Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Zitazoeleka tu, wakati lebo ya FILA anaingia watu waliona hivyo hivyo, lakini sasa wemeizoea mtu akivaa FILA hawamshangai.
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Pia kuna Pikipiki Al maarufu Boda boda Zaitwa "JINYEE" zipo Dar na zina soko sana.
   
 13. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nyie vaeni tu, atakayemaindi haihusu....................
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Mtambuzi hili ndo la msingi. nakumbuka siye shulen tunafadhiliwa na watu wa JICA so kuna mjapan aliletwa as teacher kwa ajili ya kufundisha hesabu alikuwa anaitwa UCHI dah! ilitupa wakati mgumu sana na wanafunzi wa kibongo ilibidi abadilishwe jina manake tulimweleza ukweli so ikabidi atumie jina la babu yake aliyeitwa KEENJI but taaarifa zake zote zinakuja kwa jina la uchi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  gfsonwin, hilo jina linaandikwa OUCHI kama sikosei lakini linatamkwa UCHI.
  Niliwahi kufanya kazi na Mjapani mwenye jina kama hilo, lakini tulikuwa tunamuita UTUPU ili kuweka tafsida.......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Hah ha ha! mtambuzi unajua ile brand ya LEVI (inatamkwa livai), sasa hii itaitwa mavai!

  Kuna nchi moja neno picha (picture) linaandikwa tofauti na kutamkwa picha!
  Kazi inakuwa pale unapoomba mkapige picha na mama mkwe! utashangaa anatokomea chumbani na mkeo anatoka chumbani akibubujikwa na mchozi. Baba mkwe atatunduwaa, mashangazi wakigala gala sakafuni!
   
 17. Badu

  Badu JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 364
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Daah! M ninayo iliyo andikwa kufa naogopa kuivaa kichiz
   
 18. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mbona hamshangai KANYE.....si mnaona ni jina lake sasa cha ajbu ni kipi?
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  ni sawa ila ilitupa shida sana sisi waali manake wanafunzi walikuwa wanalitumia ndivyo sivyo so tuliamua kuliua
   
 20. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kanye west....
  Malaya carey..
   
Loading...