CCM 2015 mambo yatakuwa hivi

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
tunapoelekea watanzania watakuwa hawaendekezi tena pilau kofia na t shirt wanazohongwa na ccm . kwa hio watakaokuaj kwa hiari yao ccm wataambulia mabo kama haya
422402_10150591216512740_1418180027_n.jpg
 
Bila mabasi ya kuwasomba, khanga,Tshirts na kofia pamoja na bahasha ya elfu kumi,hakuna atakayehudhulia mikutano ya ccm!! CCM kwishney!!
 
huyo hapo mbele atakuwa ni mwanachama, sio mshabiki......... wale washabiki watakuwa wameenda na MDUDNIKO mtaani kukusanya watu!
 
Yani nimecheka mpaka basi!! Ingekuwa bongo kina nape,zomba ritz na wenzake ungewaona na post zao CCM YAFUNIKA----- kama ile ya mafinga leo mpaka nilijikuta nahisi aibu badala yao,ila cha kushangaza nimeshamwona mwehu mmoja hapo pembeni keshawahi Jf eti ccm yaisambaratisha cdm mafinga!!duh! Yaani aibu.
 
Back
Top Bottom