Baada ya Juni 21, 2012... coming near you...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929
603046_10150986913896156_835720178_n.jpg
 
Kaka kitabu tu, tena cha majeruhi wa mapenzi, 14,000 - 18,000? Hii ni tanzania mkuu. Wengi tumechoka. Labda haujalenga wasome watu wa saizi ya kati.
 
elfu 14 bajeti yake
Kujiunga bundle wiki moja 3500
vocha wiki moja 3500
nauli ya daladala 4200
kunyoa 2000
na chenchi inabaki.....

this all is to try to say the book is very expensive
 
elfu 14 bajeti yake
Kujiunga bundle wiki moja 3500
vocha wiki moja 3500
nauli ya daladala 4200
kunyoa 2000
na chenchi inabaki.....

this all is to try to say the book is very expensive

I totally understand... lakini kukichapa na kukisafirisha ni ghali pia..
 
Tujulishe kitapatikana wapi kwenye mikoa ya nchi yetu


sijui kama kitaweza kupatikana kwenye mikoa yote kwani tunachapa nakala chache sana na ambazo hadi hivi sasa tayari karibu 50 zimeshakuwa pre-ordered. Naamini yatakapotoka matangazo magazetini wiki ijayo kitabu kinaweza kisifike kabisa madukani (ndicho tunachojaribu)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom