CCM, mkishaona TUNDU LISSU kashamwaga Cheche, muwatafute hawa jamaa zenu haraka sana na kuwaweka Plaster mdomoni kama siyo kuwaziba kwa Mkono.
Mkichelewa.......
Hivi kama Mzee Hamza Kalala angemkataza mwanae huyu Kalala Junior asichezee vyombo vyake vya mziki kipaji cha kijana huyu kingechelewa kuonekana au kisingeonekana kabisa.Wazazi tambueni mapema...