Angalia mwizi akiuawa kinyama(ukiwa na moyo mdogo usiangalie)

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Kijana huyu ambae ni kibaka akikaribia kukatishiwa maisha yake baada ya kukamatwa akimuibia mtu.
 

Attachments

  • 051.JPG
    051.JPG
    79.8 KB · Views: 744
Maisha haya..mwizi amechoka na aliyemwibia amechoka unadhani atafanywa nini zaidi ya hicho...
 
Udhaifu wa utekelezaji wa sheria ndo unaleteleza haya yote.
Unampeleka police kakuibia simu anawapa polisi book2 wanamwachia kishaanakunyonga
 
ingetokea cku tuka jioganizi tukawafanyia mafisadi hv nadhan wajukuu zetu wangekuja kuishi maisha mazuri sana
 
Mimi simwonei huruma bana....hata kama adhabu aliyopewa ni kali. Kila mtu choka mbaya halafu unajitia kuiba, ulitegemea nini...
 
attachment.php


Adhabu hii walistahili watuhumiwa wa epa, richmond na wale mawaziri waliotimuliwa hivi karibuni, si huyu, alitakiwa kukamatwa kupewa mtaji na kupewa knowledge za ujasiriamali, kwisha.
 
Ni vyema angetokea mtu na AK-47 akampiga tu kuliko kumuangushia matofali hayo! Dah inasikitisha
 
Kijana huyu ambae ni kibaka akikaribia kukatishiwa maisha yake baada ya kukamatwa akimuibia mtu.
Natamani ningekuwepo hapo,yaani nisingebakisha hata mfupa mmoja wa huyo bazazi,kilakitu kingegeuka kuwa nyama.nywele,kucha na hata vinyweleo vyote ningevitransform kuwa nyama!!!
 
Huyu naye badala atupie kichwani yeye anaonekana anatupia miguuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom