Mwigulu, Lusinde, Ngereja na Komba, CCM inabidi iwafanye hivi:

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,061
6806715.bin


CCM, mkishaona TUNDU LISSU kashamwaga Cheche, muwatafute hawa jamaa zenu haraka sana na kuwaweka Plaster mdomoni kama siyo kuwaziba kwa Mkono.

Mkichelewa.......
 
Kigogo, inabidi iwe hivyo maana vinginevyo, CCM itakwisha kabisa.

Nitasikitika sana CCM ikifa maana kinaweza kuwa chama kizuri sana cha UPINZANI.
hahaaaa nimeipenda sana hiyo
 
Back
Top Bottom