Hata kama ni mtuhumiwa ana haki zake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata kama ni mtuhumiwa ana haki zake.

Discussion in 'Jamii Photos' started by jchofachogenda, Jun 21, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Fuateni utaratibu wa kazi yenu,hata kama ni mtuhumiwa ana haki zake.Upelekaji wa aina hii haukubaliki hata kwa wanyama sembuse binadamu mwenzenu.
   

  Attached Files:

  • 058.JPG
   058.JPG
   File size:
   17.5 KB
   Views:
   156
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kubebwa raha.
   
 3. Vegetarian

  Vegetarian JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Maaskari wengi bado hawazingatii haki za watuhumiwa wakijiaminisha kuwa raia ni mahamuma wa sheria. Ndiyo maana utawakuta wakiwatesa,kuwapiga hata kuwadhalilisha kama hivyo,itabidi waheshimu haki ya watuhumiwa bila kuangalia maslahi binafsi.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,510
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Si bora hii kuliko ile ya kubebwa kipwinto?
   
 5. t

  tarizle Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama alikua analeta usumbufu sana askari wamfanyeje..?
   
 6. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Hate Police Brutality
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mtikila huwa anawaita hawa mbwa wa sisiemu!
   
 8. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kudadadeki, mtu anabebwa kama ka-mnyama vile!
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Bora hiyo kuliko ile Tanganyika jeki anatembelea kucha
   
 10. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  watanzania hamna jema kama kakataa kuondoka wamfanyaje wakimuacha tunasema wale nyanya tu kunawatu watata jamani au toeni pendekezo akikataa wafanye vp?
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Policemen wa kibongo ni wanyanyasaji sana, si amtie pingu tu fujo atazifanya vipi.
   
Loading...