Kikwete na Mkapa Enzi hizo...

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,408
14,155
jkmkapa.jpg
ilikuwa mwaka 1995 pale Chimwaga , Dodoma Jakaya Kikwete alipokubali kumwachia Benjamin Mkapa nafasi ya kugombea uraisi
 
Hapo hiyo hoyee itoka wapi? Nilifikiri kafanya jambo zuri lenye maslahi kwa Taifa kama kuwawajibisha mawaziri 8 wezi kumbe kamkumbatia mfk ben
 
Si alishindwa duru ya pili ya uchaguzi? Sasa kwanini unasema 'alipomuachia'? Acheni ushabiki usiokuwa na maana. Kama unampenda sana kanywe nae chai.
 
Si alishindwa duru ya pili ya uchaguzi? Sasa kwanini unasema 'alipomuachia'? Acheni ushabiki usiokuwa na maana. Kama unampenda sana kanywe nae chai.

duh! Povu la nini?
 
Back
Top Bottom