Magamba yamefunga Minyororo Kila Sehemu tunashindwa pa Kutokea Dawa Kuu ni kuyandoa hata kwa njia hii Then Tuendelee na Maisha yetu Mazuri na nikuambue kitu hii ni Siri yako wewe tu Ukifanikisha...
Wananchi wazalendo katika hili kuna nyongeza?..Nakuombeni mfanye uamuzi ulio bara toka sasa.."VUA GAMBA VAA GWANDA"………KATA TIKETI YAKO MAPEMA.