Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia jamani

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
Hebu jiulize ukimwona mpezi wako akifanya hivi utafanyaje?
 

Attachments

  • kama ni wewe ukimuona utafanyaje.jpg
    kama ni wewe ukimuona utafanyaje.jpg
    15.6 KB · Views: 436
Kama huwa sifanyi na mimi hivyo itaniuma sana, lakini kama huwa nafanya nitaona kaajali kamemtokea mwenzangu mimi kuona ni kumsamehe ila kuanzia hapo atakuwa anajificha sana
 
Kama wewe mwanaume unaweza kufanya hivyo, kwa nini mwanamke asiweze? Ebu badili tabia, kile usichopenda kufanyiwa make sure hufanyi hata kama huonwi. Ukifanya uungulie rohoni ili uwe na maadili ya kuwa msafi all the time.
 
Ukiona hvo ujue jamaa ni dumbest man in da weld na huyo du yuko nae for some reasons ila no penzi!
 
Back
Top Bottom