Kila Mtu anapenda Kufaulu,

Kila Mtu anapenda Kufaulu,

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Salamu hizi ziwafikie Wana Mzumbe University,​


558304_10150963254128581_557979524_n.jpg
 
hiyo inashusha viwango vya elimu na tunapata wataalam feki au wa vodafasta
 
Ndo matokeo ya mfumo mbovu wa elimu tulionao,mwanafunzi anaingia kwenye mtihani anajua maswali yatakayotoka ni yepi!? We are too traditional afterall we are appreciated for our grades but not mastery and competence,!
 
Naona jamaa kama Michael Scofield wa Prison Break.Kizazi kilichopata elimu dhaifu kutokana na serikali dhaifu yenye usimamizi dhaifu kwenye sekta ya elimu.
 
Back
Top Bottom