Jinsi ya Kuyaondoa Magamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya Kuyaondoa Magamba

Discussion in 'Jamii Photos' started by Duduwasha, Jul 29, 2012.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: uiGrid fbPhotoImageStage"]
  [TR]
  [TD="class: vMid hCent stageContainer"] [​IMG]Magamba yamefunga Minyororo Kila Sehemu tunashindwa pa Kutokea Dawa Kuu ni kuyandoa hata kwa njia hii Then Tuendelee na Maisha yetu Mazuri na nikuambue kitu hii ni Siri yako wewe tu Ukifanikisha kuyaondoa Magamba nchi yetu itakuwa nzuri Sana kuliko maelezo nchi isio na mafisadi au hata kama yatakuwepo basi yatakuwa hayana pa kuiba... no Dhurma na Kuzuia Waovu sababu Kesi ipo mahakamani na mahakama zenyewe kesi zinachukua Miaka nenda Rudi Tizama Mramba na Yona hadi leo Wanapeta Uraiani tu na wengine wengi we acha tu Tuyaondoe Magamba  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mkuu ujumbe umefika vizuri sana.
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Serikali hii inafanana na Watu wabaya wote waliwahi tokea katika Ulimwengu huu...
  Hii list unaweza kuwafitisha watu waliomo katika Serikali hii na wakafiti fresh:-

  Mumuani
  Dracula
  Wezi
  Mafisadi
  Waonevu
  Chifu Mangungu
  Hitler
  Bokasa
   
 4. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Njia hii kampe NN akajaribu kwenye lile gamba lililoishia kiunoni liliohitaji shoka..........ha ha ha
   
Loading...