sasa ilipata emergency landing au?[/QUO
Ndiyo ilivunjika kioo cha mbele.
Mkuu utatakiwa kuisadia Polisi.. Lol!!Naona tank la mafuta pembeni(kichupa)....nasikia ni mchanganyiko wa vitovu vya watoto wasiopungua saba, dah hawa watu hawa!! Hawamuogopi Muumba kabisa!!
Haswaaa!! Inabidi siku moja aruke na mdude kama (kwenye avatar yangu) ndio ataitambua elimu ya kweli ya kuruka angani!!Elimu ndio ufunguo wa haya matatizo.
Mkuu utatakiwa kuisadia Polisi.. Lol!!