Wananchi wazalendo kateni tiketi mapema safari imekaribia.

Wananchi wazalendo kateni tiketi mapema safari imekaribia.

Kiona

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
933
Reaction score
242
Wananchi wazalendo katika hili kuna nyongeza?..Nakuombeni mfanye uamuzi ulio bara toka sasa.."VUA GAMBA VAA GWANDA"………KATA TIKETI YAKO MAPEMA.


M4C.jpg
 
Ee mwenyezi Mungu bariki, vuguvugu hili la mabadiliko.
 
Tushachukua tiketi zetu, tunausubili 2015 kwa shangwe. M4c 4everrrrrrrrrr
 
this time mimi na Kongosho tutapigia hata SAU nyie jichanganyeni tu
 
Last edited by a moderator:
Hawajui tu, tena na hivi naweza kuwa campaign manager wa SAU
Watuletee kichwa chenye akili tu lakini wakileta chelema, akyamama watajua tu.

yaani mii nimechoka sana na hizi siasa za hapa leo naona vijembe vinarushwa tu pasi sababu etikisa ikulu huko ikulu kuna mashamba ama biashara gani? leo Mzee Mwanakijiji kaamka na yake tunamtaka raisi mzee kijana ikulu hakuna kukimbia marathon sasa miye najiuliza kwani huko ikulu kuna hitaj mtu wa umri rangi na kimo fulan?

hebu tuachen kufikiri kidogo tuangalie kweli Tz iko wapi na nini tunahitaj kama watanzania na nani atakayeweza kutufikisha hapo tunapotaka kiukweli na si kimakabrasha.
tutafufu hata vilivyo kufa aisee kama NRA wao walete uchizi tu waone
 
Last edited by a moderator:
mwisho wa cku wa tz ndo wataamua, tunaweza sema mengi lkn hatujui litakalo tokea 2015
 
Wananchi wazalendo katika hili kuna nyongeza?..Nakuombeni mfanye uamuzi ulio bara toka sasa.."VUA GAMBA VAA GWANDA".........KATA TIKETI YAKO MAPEMA.


View attachment 59923

Hii ni kwa simple minds mi ukiniwekea hicher na dcm unadhani ntachagua nini?
Do your home work.
 
Kwanza mkuu umelipendelea sana hilo basi la kijani..Ni kwamba limezeeka kuliko ulivyoliona kipindi unalipiga picha,nadhani umeliphotoa muda mrefu sana.
Mi nshakata tiketi kwa M4C banaa.
 
Back
Top Bottom