Hapa ni barababara ya Bagamoyo jengo moja linalojengwa fasta inaelekea bila viwango.
Jengo hilo kwa mbele limebomoka lenyewe(collapse) a nguzo kupinda(!!!) kama linavoonekana.
Hatujasahau...
Huyu Mrembo anadaiwa kuwa ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Airtel anatuhumiwa kukwapua hayo majipodozi kwenye Uchumi SUPERMARKET.
"Chupi imembana, macho yamemchomoka!!!" HATA KAMA NI NJAA SIO...