masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,890
- 15,107
View attachment 70756
Hapa ni barababara ya Bagamoyo jengo moja linalojengwa fasta inaelekea bila viwango.
Jengo hilo kwa mbele limebomoka lenyewe(collapse) a nguzo kupinda(!!!) kama linavoonekana.
Hatujasahau yaliyotokea Accra , Ghana siku chache zilzopita.
Kwa ukubwa wa jengo nilazima litabeba watu wengi tu.
Je wakaguzi wanapita?