Kwa nini walimu wengi wao ni walevi

Kwa nini walimu wengi wao ni walevi

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,040
Reaction score
859





​






















That is why teachers overdrink,.,.,.,.,..,



<tbody>
</tbody>



download

download

download

download

download



download






<tbody>
</tbody>
Please teach them without giving up







<tbody>
</tbody>
 
  • Thanks
Reactions: BL4
Life ngumu,mshahara mdogo wanaishia kwenye matap tap
 
mishahara midogo afu ni fani ambayo haina
pesa nyingine zaidi ya mshahara
ivo wanasubiri mwezi hadi mwezi...kifuatacho Frastration

hakika wanapaswa kuongezwa mishahara na wale wa mazingira magumu
ya vijijini wapewe hard ship allowance
 
makelele ya wanafunzi yanawazingua ubongo kila wanapoenda wanahisi makelelleleletu so wanafukuza makelele
 
Ukimwona mtu amelewa asubuhi na mapema ujue kuna jambo baya lililomsibu! Kazi wanazofanya ni ngumu, mshahara ni kidogo, wanachanganyikiwa! Ila si wote, wengine hasira zao zinaishia kwa wanafunzi wao! Wanafanya kazi ktk mazingira magumu mno! Naiomba serikali iangalie na kuboresha maslahi ya Waalimu wetu!
 
Back
Top Bottom