kwa wale wanopenda starehe kielektroniki na hasa wengi wao wakiwa wale vijana wetu almaarufu kama 'wadau wa Division Zero' mnajua itakavyokuwa miaka mitatu ijayo!?
Angalieni wenyewe
je, hao wanaosema maendeleo wanakubaliana na haya mawazo ya King Kinya?
Maana kimsingi maendeleo ya ukweli ni yale yanayoanzia kwenye mambo ya msingi lakini kama kweli huwezi kujilisha...
Adalberto Mangini, 51, and Laura Bongiorni, 50, stroll, cuddle and even play fetch with lions and cheetahs at The Mukini Big 5 Centre in Zambia. The lethal predators are part of a breeding program...
jamaa anasoma vitabu ishirini kwa mpigo. bango la tution nalo ni balaa tupu
updates: samahani wakuu kwani pict format was unsupported. twaweza endelea kuburudika na taarifa kwa nyia ya picha...
Mchina ambaye hakutambulika jina lake akicheza wakati Bendi ya Africana inatumbuiza wakati wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika katika Viwanja vya Furahisha mwishoni mwa...