Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,445
- 8,418
Yes unaruhusiwa. Lazima uombe kibali wizara ya maliasili, likewise lazima huyo mnyama awe anatibiwa ili ikitokea akamdhuru mtu basi matatizo yanakuwa kidogo.Hivi kwetu unaruhusiwa kuwa na kapaka kamoja home kwako?