kwa wale wanopenda starehe kielektroniki na hasa wengi wao wakiwa wale vijana wetu almaarufu kama 'wadau wa Division Zero' mnajua itakavyokuwa miaka mitatu ijayo!?
Angalieni wenyeweView attachment 87644
mbona hata njia kuiona ni tabu sasa?
mbona hata njia kuiona ni tabu sasa?[/QUOTE
Mkuu hii huku kwetu Rombo naona bado haijafika.. Maduka yatauzika kweli?