samsung galaxy S4 inauzwa bei kuanzia laki 9 na maelewano yapo.
DESCRIPTION;
Processor:quadcore
Snapdragon 6001.9gh
RAM:2gb
kioo:inch 5
OS version:Android
jelly bean:4.22
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia) wakiwa na Binti yao Janet Pinda ambaye alitunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha...
Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya...
Katika picha hizi kila moja wapo anatajwa kuwa ndiye baba mzazi wa Joseph Kabila, je ni yupi? Kitambo kumekuwepo na sintofaham juu ya ni nani mzazi wa Joseph kabila, wapo wanaosema baba mzazi wa...
Nashukuru nimeenda na kurudi salama.
Wacha picha ziongeee . . . . (at your own risk)
Wana ndege zaidi ya 10 ingawa ni Nchi ndogo, sijui tunazo ngapi. Huduma zao ni nzuri sana. Wachangamfu...
NI aibu sana! Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Oparesheni ya Fichua Maovu iliyosimamiwa na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar, OCD Wilbroad Mutafungwa na Ofisa wa Oparesheni...