Hongera Janet Mizengo Pinda

Hongera Janet Mizengo Pinda

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,539
PG4A7831.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia) wakiwa na Binti yao Janet Pinda ambaye alitunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Mbona hajapiga picha na mtoto wake...teh
 
PG4A7887.jpg

Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (kulia) akipongezwa na wadogozake, Nasirika Nyema (wapili kulia) na Namsi Pinda (kushoto) baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Vp wameolewa hao wengine?
 
PG4A7831.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia) wakiwa na Binti yao Janet Pinda ambaye alitunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mtoto wa Mkulima siku hizi anapiga vitu vya ma designer beltless
 
Huko ni kujikomba ina maana ni yeye peke yake aliyemaliza hakuna wengine mpaka unaleta upuuzi kama huo JF
 
acha wivu.......kinakuuma nini....weka basi hao unaoita wengine,be somebody little fella..if you are a bunch of no body,to hell with u..
 
Naona ana PETE tayari kwenye Kidole..... Hivi Walimu wa Mzumbe hawakuambia "nimechoka sasa mnapomfelisha Mtoto wangu, nasema MPIGWE TU...." wenyewe wakabadili maksi? Ni swali tu......

Kama hakushinda kwa Vitisho vya Baba na kuvua chupi (Degree za Mrisho Gambo) basi HONGERA ZAKE SANA Mtani wangu.
 
Back
Top Bottom