Katika picha hizi kila moja wapo anatajwa kuwa ndiye baba mzazi wa Joseph Kabila, je ni yupi? Kitambo kumekuwepo na sintofaham juu ya ni nani mzazi wa Joseph kabila, wapo wanaosema baba mzazi wa Rais Joseph ni Mtusi wa Rwanda aliye fahamika kwa jina la Adrien Kanambe, wako wanaosema ni Mkongomani Laurent Desire Kabira. Kumbuka iliwahi kuletwa kwenye jukwaa la siasa.