Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
mkuu unawachokoza chedemu watakuja mbio kukujibu mimi simo mchanga wa pwani huo..............................Duh hilo jicho la Mtei!!!
Na wewe usikose kunitowa kifungoni nikifungwa tu unifunguwe Mzee Mwenzangu.
Siku nijika Africa ninataka kukuona je nitakuona Hospitali gani? au hufanyi kazi hospitalini? i guess!!!Hakuna shaka mkuu, tuko pamoja.
Ndio maana nilikupigia "pande"
Siku nijika Africa ninataka kukuona je nitakuona Hospitali gani? au hufanyi kazi hospitalini? i guess!!!
Umenikumbusha nyumbani kwetu Mkuranga nkifika Uzaramuni wananipa Wajomba zangu maji ya madafu nitakuambia inshallah siku nikitaka kuja si unajuwa wazaramo kwa kupenda kua na minazi mingi!Karibu sana nyumbani kaka,
Nijulishe mapema ili nikupokee airport. Nitakueletea dafu fresh kutoka mtini ili ukaribie nyumbani na kinywaji baridi asili chenye manufaa ya kiafya...
hahahahaaaaaa aiseee tatizo ni kuwa katuni zinanisumbua kutafisiri MziziMkavu
Tatizo unamuabudu binadamu mwenzako kuamini bila ya fulani hakuna maisha
Siku nijika Africa ninataka kukuona je nitakuona Hospitali gani? au hufanyi kazi hospitalini? i guess!!!
Kuna ushahidi toka kwa wataalamu?au imani kutoka kwa mababu zetu?Sasa mkuu Mzizi Mkavu mbona kuna sehemu nyingine twaambiwa maji ya madafu yanasababisha mshipa kwa wanaume. Kuna ukweli wowote?
Mkuu mimi sipo chama chochote cha Siasa hapo nyumbani. Vyama vya Siasa kwangu mim ni kama vyama vya Mipira vya Timu kubwa hapo kwetu Simba na Yanga mimi sio mpenzi wa timu yoyote ile Duniani mimi ni Mpenzi na Mwanachama wa Jamii forums tu hakuna chama kingine zaidi ya hapo mkuu jaribu kunielewa vizuri.Siku hizi hospitali imekuwa kama kituo cha polisi kwake ; yuko anahangaika na chama cha magamba kuwapigia propaganda mitandaoni pengine watamkumbuka kumpa ubunge wa Kilosa 2015!!! Kufanya kazi mahospitalini hailipi huku bongo dili zote ziko kwenye siasa!