Tafasiri yangu inasema huyu ni Rais Samia. Amechonga barabara inayompeleka shimoni. Naye katika kuendesha gari lake anataka kulitumbukiza gari shimoni.
Nawasalimu kwa jina la JF,
Hili chapisho lilitolewa mwaka 1875 huko New York katika jarida la mambo ya afya ya uzazi, likionyesha kijana mpiga nyeto anavyoathirika na asiyepiga nyeto...