Ufaransa

Ufaransa

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,944
Sasa itakuaje?
IMG-20210727-WA0019.jpg
 
Alaumiwe aliyemnasa kofi kauchanganya ubongo wa Mr. President.

Tunakubaliana chanjo siyo lazima ila unasema nisinunue chakula mpaka nichanjwe. So nikifa kwa njaa haina shida? Dikteta.
 
Kutochanja ni haki yako kabisa,lkn nasi wenye maduka ya vyakula kuto kukuuzia chakula ni haki yetu.

Fair game.
 
Alaumiwe aliyemnasa kofi kauchanganya ubongo wa Mr. President.

Tunakubaliana chanjo siyo lazima ila unasema nisinunue chakula mpaka nichanjwe. So nikifa kwa njaa haina shida? Dikteta.
Lile kofi sio jambo dogo, inabidi apigwe tena kuweka settings sawa
 
Back
Top Bottom