Mh enzi sana...kipepe....lodi lofa....
Lodilofa aliwahi kukuta Bush Star na Born Town wanacheza mechi sasa kufika akawa haelewi kwanini watu 22 wanakimbiza mpira mmoja. Akaenda dukani akanunua mipira yakutosha akaja kuwagawia kila mchezaji mpira wake.Mh enzi sana...kipepe....lodi lofa....
Kipepe anacheza huku anakumbuka kuwinda swala,sema jamaaa walikuwa wanakamia sana gemu
Kama unaikumbuka hii kapate chanjo usimsikilize askofu Rashid Gwajima