Wakati Tanzania ikielekea kwenye kupata katiba mpya, kisha Uchaguzi serikali za mitaa halafu funga kazi UCHAGUZI MKUU WA RAIS 2015. Waheshimiwa kadhaa wanatajwa kumrithi mkulu. Unaonaje kazi hii...
Ama kweli kama huma roho 7
Kama alivyo paka basi usifungue
picha hii, kwani imeharibu siku yangu
yote kuelekea sikukuu ya Iddy Elfitry 2015
Ama kweli hujafa hujaumbika
Onsen - mto wa moto
Japan ni nchi ya volcano, ina mito ya moto kila kona ya nchi.
Inasemekana kuwa maji ya mito moto yana madini yanayosaidia mwili; yana nguvu ya kuponyesha magonjwa...