Rajesh Kumar wa Isidingo alipokwea mlima Kilimanjaro

Rajesh Kumar wa Isidingo alipokwea mlima Kilimanjaro

Kumbe ni kazee hivi, but uigizaji wake uko bomba sana hasa kwenye infidelity
 
Now amepigwa kibuti na Priya kisa penzi la mtoto wa kiswahili Zak.Bonge la msanii
 
Zak kampa Limbwata Rajesh, jamaa alikuwa mwaminifu sana huyu, sema Priya nae na ubusy wake na kukataa kuzaa na Rajesh akitumia contraceptives kwa siri, kumechangia Rajesh kufall kwa Zak. Never miss a single episode of the best SOAP OPERA in Africa. Cant wait to see Rajesh marrying Zak.
 
Back
Top Bottom