Wajapani walianzisha hii tabia ya kula sushi kwa kutumia mwili wa mtu kama sahani na sasa inezagaa nchi nyingine.
View attachment 268751
View attachment 268754
View attachment 268756
Hiyo bongo ikija kuna watu watabakwa juu ya meza.
unaweza shangaa kidole kinapita maeneo ukiuliza utaambiwa natafuta chumvi huko
ndiyo maana yake chezea hiyo kitu hiyochumvi ya kulia sushi hahahahhahaaha my dear umeniuA
ndiyo maana yake chezea hiyo kitu hiyo