hawa utakuta nao ni wanachama watiifu wa ccm hapo ndipo napata shida na ccm cjuh wanawapa nini wanachama wao utakuta ni maskini wa kutupwa nyumba ya udongo bt bendela ya chama mpya bt wazee wanapendana sana god bless them
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.