Mhe. Mmagufuli umeanza na red carpet kuelekea 2015

Mhe. Mmagufuli umeanza na red carpet kuelekea 2015

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,415
Reaction score
11,257
Wakati Tanzania ikielekea kwenye kupata katiba mpya, kisha Uchaguzi serikali za mitaa halafu funga kazi UCHAGUZI MKUU WA RAIS 2015. Waheshimiwa kadhaa wanatajwa kumrithi mkulu. Unaonaje kazi hii tukimpa Mhe. Dr. Magu FULI? maana hapa kwenye red carpet (pichani) kapendezea haswaaa
 

Attachments

  • red_c.jpg
    red_c.jpg
    48.2 KB · Views: 1,025
UTABIRI HUU UMEKUWA KWELI. HONGERA DOKTA MAGUFULI tunyooshee wafanyakazi wa Serikalini, waheshimu kazi kama BARABARA ZAKO
 
andreakalima ulioteshwa nini? huyu jamaa nafikiri aliandaliwa muda mrefu sana kwa wajuzi wa mambo kama wewe nafikiri mlilijua mapema
 
kuna watu midomo yao ina BARKA (Manabii) mmojawapo ni wewe ndugu kalima. Hongera kwa kubashiri na ikawa kweli
 
kila la kheri mheshimiwa eti nimenong'onezwa kuwa utachukua kiranja mkuu toka LINDI ni kweli?
 
Wakati Tanzania ikielekea kwenye kupata katiba mpya, kisha Uchaguzi serikali za mitaa halafu funga kazi UCHAGUZI MKUU WA RAIS 2015. Waheshimiwa kadhaa wanatajwa kumrithi mkulu. Unaonaje kazi hii tukimpa Mhe. Dr. Magu FULI? maana hapa kwenye red carpet (pichani) kapendezea haswaaa

Wewe ni Mtabiri!
 
Jembe la Ukweli huyu jamaa anaweza kupata kura zaidi ya Aslimia 90% mwaka, mzee Mamvi mwenyewe anamkubali kimya kimya hasemi tu
 
Wakati Tanzania ikielekea kwenye kupata katiba mpya, kisha Uchaguzi serikali za mitaa halafu funga kazi UCHAGUZI MKUU WA RAIS 2015. Waheshimiwa kadhaa wanatajwa kumrithi mkulu. Unaonaje kazi hii tukimpa Mhe. Dr. Magu FULI? maana hapa kwenye red carpet (pichani) kapendezea haswaaa

Haya mambo ya kusifia na kuwapamba viongozi wakawa kama ni wafalme badala ya watumishi wa wananchi ndio yanayotuharibia nchi. Hata kama kiongozi ni mzuri lakini ukimfanya ajisikie kuwa yeye ni bora kuliko wananchi anaowaongoza, sio jambo la kushangaza anpoishia kuharibu kila kitu. Tuache hii tabia. Viongozi ni watumishi wa wananchi na sio wafalme wao.
 
UTABIRI HUU UMEKUWA KWELI. HONGERA DOKTA MAGUFULI tunyooshee wafanyakazi wa Serikalini, waheshimu kazi kama BARABARA ZAKO
Nina walakini km wewe ni mfanyakazi wa umma. Unafikiri "kunyooshwa" km ulivyoelezea hapo ndo suluhisho la wafanyakazi wa umma kujituma kazini?!!! Kodi kupunguzwa, posho kuongezwa, mishahara bora na mazingira bora ya kufanyia kazi ndio suluhisho...Otherwise msituletee siasa zenu kazini.
 
Ha ha Mtake msitake Dr. Magufuli ndo Rais. Uchaguzi ni kukamilisha Ratiba tu
 
Back
Top Bottom