Lazima tuwe na sheria, kanuni , kali ambazo zitaongoza , na kusimamia upigaji wa picha kati ya rais na watu wa kawaida, kama hii inamdhalilisha rais ingawa ni ujiko kwa walioomba kupiga nae picha
Kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania ya sasa you have to be more than serious!! Ona hizi blunders kwenye website yenu!!!
Mnawatoa wapi hawa admin vihiyo?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.