Dr. Magufuli akiwa Misungwi Mkoani Mwanza

Dr. Magufuli akiwa Misungwi Mkoani Mwanza

Kwedu Kwazu

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
504
Reaction score
71
[h=3]
11245493_915356758501066_2979853068454483453_n.jpg
[/h]
Dr. Magufuli kila kona anapo enda kuna Mafuriko ya kufa mtu. Jamani tuseme nini ten zaidi ya kusubiri kumwapisha Rais wetu wa Tano? Hakika huyu ni chaguo la Mungu na hana upinzania Tanzania.
 
Hata sielewi mbona watu hawachangii jamani ktk MAFURIKO ya mgombea wa CCM,,,,,, kweli watu wameichoka naona hata thread zingine zinazoanzishwa hamna mnkari kabisa..... Kweli hiki chama na uongozi wake watu hawakitaki kabisa....... ...
 
Back
Top Bottom