Vijana wakamatwa milimani wakipewa mafunzo

Mondoros

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
629
472
Vijana wamekamatwa katika misitu ya mlima Meru na wengine Morogoro wakipewa mafunzo ya kigaidi. Hii ni hatari sana kwa usalama wa taifa letu. Kama kweli watanzania tuna nia njema na taifa letu tuwakwepe.

12143208_1071248309565976_4908143231370629739_n.jpg
 
Sasa mbona hawako kimazoezi:what: au ninamna ya kuudhoofisha upinzani:what: ushindi kwa ukawa uko palepale hata mtumie mbinu gani haitasaidia..!!
 
Wewe acha upuuzi mtu aliyepo mafunzoni msituni ndio wawe hivyo? Ao masharobaro kabisa hao vinyozi wa saluni hao....ndio nazidi ichukia ccm aisee
 
Teh teh teh wote wamevaa suruali nyeusi.. Wengi wana T-shirt za blue na wengine Mashati meupe.. Possibly ni watoto wa shule either kulikuwa na mgomo au vurugu hapo shuleni..
Invisible Plz ondoa hii kitu hapa... Mbowe jana kawaomba tucheze a fair game hawa jamaa pumzi zimeshawaisha..
 
Last edited by a moderator:
Hivi unawajua watu walioko msituni we kilaza...?

Mbona hao ni vitoto tu...
 
we mtoa post hujielewi! hao wanafunzi wa njombe sekondari kama sikosei waliogoma kipindi flani mwanzoni mwa mwaka huu. huoni wamevaa sare(suruali) nyeusi. unajiaibisha
 
ni kwamba hyo picha ni ya zamani na hapo unasaka tu buku 7zako upate ujira wa Leo. hakuna tukio kama hill na hai vijana dio wa ukawa. tatzo lenu mmezoea majungu.vijembe na matusi Hanna jipya . lowassa ndiye rais wako mzoga wewe
 
Back
Top Bottom