Njozi ya Bagamoyo-Master Plan

Njozi ya Bagamoyo-Master Plan

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
12144708_1001441363253191_4364307116397312922_n.jpg
Rais Kikwete ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Bandari ya kisasa ya Bagamoyo itakayogharimu dola za Marekani bilioni 10

-Ujenzi huo pia utahusisha ujenzi wa viwanda 1,000
 
hivi ile ya kigamboni ilifikia wapi?? kwel Tz tunadanganywa jaman daaah
 
Hizi ndio selfishness za waaaaazi kabisaaaa. .huyu anastahili adhabu.
 
Hakuna kitu kama hicho ingekuwa kupiga selfie na wasanii ningeamini
 
Back
Top Bottom