Kadi zote mpya!↖(^o^)↗
Endeleeni kujifariji mwenzenu anataja vipaumbele vya serikali yake nyie endeleeni kuchapisha kadi na kujirudishia hyo hela inaweza kuwasaidia kujenga chama chenu kuanzia january mwakani mtakapokuwa mnapokea ruzuku kama ya TLP mana mtakuwa na wabunge wasiozid 10
hv jaman maana ya marundo ndio nn? sjaona marundo ya kadi zaid ya usanii tupu
Kwisha Habari yao chademasiasa za kipumbavu na za maigzo kwa nyie viongoz wa ccm zmeptwa na wakat .hata mtoto wa chekechea huwez ukamdanganya huu upuuz.mbona kadi zote ni mpya??
mnajitekenya na kucheka wenyewe??tena huu mchezo kauzoea mwigulu.shame on you gambaz mwaka huu kichapo mtakoma