Wakinamama wameamua kuipa kura CCM kwasababu inajali maslahi yao na ina viongozi wa ngazi za juu wa kike, hii ni tofauti na CHADEMA ambayo haina kiongozi wa ngazi za juu ambaye ni Mwanamke...
Mheshimiwa Mwigulu asema: Asanteni Wananchi wa Tunduma,Nimefanya mkutano asubuhi ya leo maalum kuwaelimisha kuwa Uhai wa Mwanadamu unathamani kuliko Chama chochote kile cha siasa,Watanzania ni...