Mwigulu aiteka Tunduma, maelfu ya wananchi warudisha kadi na kujiunga CCM

Mkamba Mmasai

JF-Expert Member
Apr 18, 2015
384
65
[h=3]
10298782_434953803373520_3219779996503707177_n.jpg
[/h]
12108807_434953326706901_1380042174687406319_n.jpg


10407312_434953420040225_7773635225523438682_n.jpg


12143143_434953190040248_3173452461229015066_n.jpg


10154423_434953223373578_2442838470549910433_n.jpg


12118829_434953270040240_8518737961309292156_n.jpg


1549291_434953306706903_526346015229919759_n.jpg


12140669_434953383373562_8612637387774583512_n.jpg


12109008_434953463373554_1481985460399937618_n.jpg


12141493_434953496706884_8877423597859239128_n.jpg


12143102_434953510040216_8156624154726925539_n.jpg


12107234_434953600040207_4201667038673240815_n.jpg


11139995_434953706706863_3191179627570632467_n.jpg


12107085_434953840040183_3645117782446102308_n.jpg


12106973_434953906706843_2958967530413335752_n.jpg


12116004_434953953373505_6423236775856440818_n.jpg


10408719_434954180040149_3045817055113213734_n.jpg


12140710_434954246706809_4390919598360106582_n.jpg


1549329_434954280040139_2842600781421910394_n.jpg


12143258_434954306706803_6770297658993974048_n.jpg


12109129_434954453373455_2613183294030534179_n.jpg


12118709_434954530040114_6290487690374340068_n.jpg


12088314_434954563373444_6036551141197629764_n.jpg


10408719_434954593373441_1523112852875209311_n.jpg


12108992_434954626706771_1357014728092578996_n.jpg


12107132_434954646706769_7288944938390684518_n.jpg


12143143_434953190040248_3173452461229015066_n.jpg


Mheshimiwa Mwigulu asema: Asanteni Wananchi wa Tunduma,Nimefanya mkutano asubuhi ya leo maalum kuwaelimisha kuwa Uhai wa Mwanadamu unathamani kuliko Chama chochote kile cha siasa,Watanzania ni wamoja,tofauti za vyama vya siasa visitupeleke kwenye uadui na hata kufanyiana vurugu.

Tushindanishe ubora wa wagombea,Ubora wa sera na Ubora vyama.CCM ndicho chama chenye Sera bora,Mgombea bora,Mfuatiliaji,Mchapakazi na hana makandokando n.k.


‪#‎CHAGUAMAGUFULI‬
 
Kaja na mjini kama vile kulikua hakuna kinachoendelea kuhusu yeye watu walikua busy na plka zao
 
Ila ameongea kashfa moja kubwa sana amesema mwaka huu itapigwa mbwa atapigwa anaye lisha mbwa na atapigwa mwenye mbwa na chakula cha mbwa nacho kitapigwa.
 
Kwi kwi kwi kwiiii......

Hiyo itakuwa ni Tunduma ya Msongorokwinyuma na si ile ninayoijua mimi!!

Sikiliza nikwambie wewe panyabuku usiyeijua Tdm, Kadi ya Chadema hapa Boda ni bima ya Maisha ya wakazi wa hapa. Ukiwanayo hiyo utafanyabiashara bila usumbufu, utatibiwa bila Usumbufu, Utaenda choo bila usumbufu wowote. Kiufupi Kadi ya Chadema hapa Boda ni nembo ya Mji na Wakaazi wake.

Huyo msongorokwinyuma kaokota watu toka Mpande na kuwavisha tisheti za Cdm kisha akaingia Stationary katoka na kadi fake za chama na kuwapa wasongorokwinyuma akijikenusha ati Wanacdm wanarudisha kadi..!!!

Wameandamana wote hapa Boda, Kaja Kinana, Magufuli, Samia, sasa ni huyu mzururaji...!! Mnajikenysha tu, Boda hampati chochote, Salamu tuliwatumia mwaka jana kwenye serikali za Mitaa. Uchaguzi huu mkipata kata Tatu kati ya 15 zinazogombewa, NAHAMA MJI..!!!

Susemi kuhusu Ubunge na Urais, huo ndo piteni mbali kabisaaaaa!!!

BACK TANGANYIKA
 
Mambo kama haya aliyafanya katika uchaguzi mdogo wa Arumeru na udiwani kule Arusha pia alipita kule Shinyanga, Kagera, na Manyara katika chaguzi za serikali za mitaa je unakumbuka matokeo ya hizo sehemu alizopita? Labda nikufahamishe tu CCM ilishindwa vibaya maeneo yote kwa hiyo ni wazi Mwigulu hana mvuto hapo anafanya usanii ili kuendelea kupiga dili.
 
Back
Top Bottom