Duh! Hakuna uwiano kati ya vituo vilivyo vingi , makaazi ya askari na haya magari. Hata hivyo amani ni muhimu kuliko kitu chochote! Na je , amani italetwa kwa haya magari?
Msingi wa Amani ni Haki iliyo Wazi. Ni juu yetu Watanzania kujiandaa kupokea Matokeo yoyote ya Uchaguzi yaliyosimamiwa kwa haki sawa kwa wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.