kingunge akiwa kijana

kingunge akiwa kijana

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,359
Reaction score
56,208
mh_ngombale%20mwiru.jpg
 
Dah kweli Ujana Maji ya Moto! ila Bora yake Maisha ya Kidunia kapata na kayafurahia na hata Watoto wake Kina Kinjekitile wanafurahia Nguvu na akili ya Baba yao ya Ujanani.
 
Dah kweli Ujana Maji ya Moto! ila Bora yake Maisha ya Kidunia kapata na kayafurahia na hata Watoto wake Kina Kinjekitile wanafurahia Nguvu na akili ya Baba yao ya Ujanani.
kama wewe ni kijana na ukijiangalia kwenye kioo huoni kuwa ni handsome basi ujue ukizeeka ni balaa ,si unamuaona alivyokuwa HB mzee kala bata sana huyo
 
Kama hiyo avatar yako ndo wewe Giuseppe basi umekwisha heri ya mzee mapengo.
 
Huo ni uongo. Kingunge hajawahi kuwa mnene. Kuna picha humu ya miaka ya 70 akiwa kiongozi wa vijana wa TANU bado alikuwa mwembamba. Basi tu sijui kui trace hiyo picha.
 
Back
Top Bottom