Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Mheshimiwa rais kufuatana na tangazo lako muhimu naomba nikutaarifu kuwa madiwani wako wawili katika baraza la madiwani la halmashauri ya bukoba ni wanyarwanda. Na kwa hili naomba nifunguke kabisa...
6 Reactions
54 Replies
8K Views
1. Do What you love, and do it often. If you don’t like something, change it. If you don’t like your job, quit. 2. If you don’t have enough time, stop watching tv. 3. If you are looking for the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Source: Amka na BBC (20/8/2012) monday ...anasema viongozi wa upinzani ndio wanaoongelea maswala ya vita dhidi ya wanyasa concern mgogoro. AMESEMA KATU TANZANIA HAITAPIGANA NA MALAWI. My...
5 Reactions
152 Replies
12K Views
Tangu jana nimekua nikiumiza Kichwa kwakua niliona BATA (Wanaofugwa) akimgomea mtoto mwenye umri kama wa miaka saba kutii amri ya kuingia ndani kwao. Yule mtoto akimchapa yule bata fimbo, yule...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Closed
Guys we have a lot of believes in this world but it costs nothing to realize the reality that only Science is the true messenger of God others are only imaginable things without truth in them...
3 Reactions
246 Replies
20K Views
  • Closed
Sunday, August 18, 2013 | 7:51 PM Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are...
0 Reactions
107 Replies
17K Views
Katika sakata la kuonekana kuwa suala la mabomu ya Arusha ndio kwanza linaaza, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, amesema uchunguzi wa milipuko hiyo(Olasiti na Soweto) unaendelea na hakuna atakayebainika...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kwa kawaida kesi za ugaidi zinawahusu watu hatari zaidi wanaoendesha vikundi hatari zaidi vya kutekeleza na kufadhili UGAIDI. HAKUNA UBISHI KUWA HATA ASKARI WA MAREKANI AKISIKIA FLANI NI GAIDI...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania. Ni raia wa kawaida kabisa! Napenda kutoa Ushauri huu wa Jeshi la Polisi. 1. Nalishauri Jeshi la polisi liachane na ushaabiki wa vyama vya siasa. Liache kuingilia shughuli za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello Great Thinkers wa JF, Kwanza natanguliza samahani kwa yeyote nitakayemkwaza na title yangu pamoja na content ya thread yangu. Niseme tu kwamba hilo sio kusudi langu. Lakini wanajamvi naomba...
16 Reactions
106 Replies
12K Views
Mimi najiuliza hivi hawa askari wa vyeo vya chini wanaodaiwa kupokea amri au maagizo kutoka kwa wakubwa wao wa kazi na wao kutekekeza mfano,kuua au kujeruhi kwa risasi,kuua kwa kutumia bomu la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunaishi katika dunia iliyojaa uhalifu. Uhalifu wa aina mbalimbali kuanzia wizi wa kutumia silaha, wizi wa maarifa yaani utapeli na hata wizi wa kutumia kemikali na teknolojia. Hali ya uhalifu...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimewaza jambo,UWT wangetakiwa kupenyeza watu wao wakti huu wanyarwanda wanaporudishwa kwao. Hii itawafanya wawe raia na itakuwa uwekezaji mzuri sana in the longrun. Watu kama PK wanapaswa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikihuzunishwa na matukio mengi yanayoendelea kutokea kila siku kuhusiana na tatizo ambalo limekuja pamoja na maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ambapo watu wengi hasa wenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF tumeshuhudia matukio ya Umwagiwaji wa Tindikali kwa watanzania wenzetu na sasa imevuka mipaka hadi kwa raia wa Kigeni. Tukiorodhesha matukio ni mengi miongoni mwa matukio ni kama...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Binafsi, kama ilivyo kwa wananchi wengi wa nchi hii, naendelea kusikitishwa na tabia ya Polisi kutumiwa na Serikali kwa maslahi ya CCM. Tabia hii siyo tu inawakosesha wengine haki, bali inafanya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi hakuna mtu wa kuanzisha chombo cha kufuatilia na kutunza matukio makubwa yanayotikisha Nchi? Chombo hiki kingetusaidia kutunza kumbukumbu na ufuatiliaji hivyo kutokusahau haraka mambo kabla...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi tujiulize,Raisi asieweza hata kuwakamata na kuhakikisha wauza madawa ya kulevya na wezi wa EPA ndani ya nchi ataweza kweli kuongoza majeshi yetu katika vita dhidi ya taifa lingine? Wabongo...
8 Reactions
57 Replies
6K Views
Mimi binafsi namkubali sana huyu mtanzania mwenzetu na namtakia mafanikio mema. Tuanze hapa. Salim ni Mtanzania anayetangaza vipindi mbalimbali katika Shirika la Habari la Uingereza (BBC)...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani mimi ni mtaalamu wa nadharia za njama (ConsipiracyTheoretician) by profession lakini pamoja na facts nilizo nazo, nimejaribukutengeneza theory kibao kuhusiana nakutekwa kwa Kibanda, lakini...
15 Reactions
56 Replies
9K Views
Back
Top Bottom