Kama Wiki moja ina siku 7, mwezi mmoja una wiki 4, kwa maana hiyo mwezi mmoja una siku 28. Swali langu ni hili: kwanini miezi mingi ina 30 na 31 days? na kama mwezi mmoja una siku 28, basi mwaka...
THE world is awash with conspiracy theories: Malaysia Airlines flight 17 was diverted by the CIA; drug companies are preventing the release of natural cures for cancer; Queen Elizabeth is part of...
CIA report warned
assassination
programme might
backfire
Press release
WikiLeaks today, Thursday 18
December, publishes a review by the
Central Intelligence Agency (CIA) of its
"High Value Target"...
Leo saa 10:11 jioni nimetumiwa meseji ya kitapeli kutoka namba +255684475742. Meseji inasomeka hivi:
+15092142532: Your Mobile No has won 1,000,000 Dollars in Coca Cola USA, to claim send your...
Habari zenu wanajamvi ? Samahani kwa usumbufu, ninavyofahamu mimi kutokana na Imani yangu ya Kikiristo(Sijui kwa dini zingine ) Sipaswi kuogopa kifo kwa sababu lipo tumaini kuwa Yesu atarudi tena...
Ni rahisi sana kuwa rafiki wa kweli. Jitahidi katika maisha yako kuwa rafiki wa kweli. Jitahidi. Jaribu haya machache;
1. Hupendi anachokipost: Usitukane. Usimkebehi. Usimseme kwa rafiki zake...
Na Kalunde Jamal, Mwananchi
KWA UFUPI
Wanandoa kuendekeza tofauti zao mbele ya watoto, huwafanya watoto wajenge tabia ya kutojali
Agatha na mumewe Jackob wanaishi katika nyumba ya kupanga...
Nimekuwa nikishuhudia mashirika/idara za usalama za nchi nyingine particulary US and UK zikitoa baadhi ya classified intelligence documents baada ya kipindi fulani. Mfano mzuri ni documents za...
Nimekua najiulia kwanini jina la waziri wa mazigira halipo katika majina ya baraza la mawaziri katika tovuti ya ikulu wala katibu mkuu kiongozi, je amesahulika, sababu si maaruu,maana huku wanachi...
Kuna kitu kinanichanganya, wahalifu wakienda kuvamia sehemu uficha sehemu na kubakisha macho wakidhani hawatatambuliwa kwa kuonwa macho magazeti yakitoa picha yakitaka mtu asitambuliwe huficha...
Tangu zaman tumekuwa tukitumia vocha....na vocha ni codes. tangu nimiliki sim. ni miaka 10+now.... na ninejarbu kubashir lkn
nimekosa.....
1.je ni njia gan inatumika ku create hizi codes?
2...
Unaweza kupata shida kuona athari ya hili mpaka usafiri kidogo.
Ukimwambia mtu kwa mfano unapata Mshahara wa Mtz kwa mwezi wa Tsh milioni moja anashtuka kwa kuwa yeye huo ni mshahara wa mwaka...
What is Karma?
Karma is the Sanskrit word for action. It is equivalent to Newton's law of ‘every action must have a reaction'. When we think, speak or act we initiate a force that will...
Balozi wa Umoja wa Mataifa, Augustine Maiga, akitoa mada wakati maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani yaliyojadili Nafasi ya Vijana katika Kudumisha Amani yaliyofanyika mkoani Dodoma jana. Kulia...
Wana jamvi naombeni kujuzwa kuhusu kile kijumba cheusi kinachozungukwa ma watu wengi. Hivi ni kitu gani? Historia yake kama kuna yeyote anayeelewa?
Kuna baadhi ya watu wanasema ndipo ibrahimu...
Kwanza napenda kumpongeza Prof Assad kwa kuteuliwa kuwa CAG mpya... Kwa jinsi huyu bwana alivyoshika dini, sijui watakaotaka kumuhonga wataanzia wapi. Ni msomi asiye na makuu wala tamaa za mali...
Wadau kuna mahali nilikuta hii kitu, kuna habari kuwa dunia inaongozwa na familia (Clan). Familia hizi zilianzishwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita na zina nguvu sana kisiasa na kiuchumi.
Mwenye...
Wadau,
Ni kawaida kukuta wachangiaji wa JF wakipewa mrejesho (feedback) za POSTS, LIKEs, UNLIKES, Quotes nk. Sasa nauliza:
1. Ukikuta mtu kapost 10,000 postings, katika hizo postings ana jumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.