Sijajua serikali imejipangaje katika mpango huu. KITABU cha Takwimu za Dunia kinachotolewa kila mwaka na Jarida la The Economist kimetoka mwaka huu na kuna baadhi ya mambo ambayo yanatakiwa...
kuna mazungumzo mengi kuhusu kurejeshwa kwa mafunzo ya JKT na mara nyingi yamekuwa yakipigiwa debe na Television ya Chama Cha Mapinduzi kila uchao.
ukiwasikiliza watetezi wa hoja ya kurejea kwa...
Kunabaadhi ya siku nikilala huwa nashindwa kuhema nahisi kama nahamishwa mahali kwingine je! hii inasababishwa na nini na ntaepukaje hili jambo pia likinitokea huwa nashindwa hata kuinua mkono au...
Nimetoka kuangalia movie based on a true story inaitwa Kill the messenger. Hii muvie inamuelezea jamaa mmoja anaitwa gary webb aliezaliwa mwaka 1955 nakazi yake kubwa ni investigative journalism...
Nashangaa na kusikitishwa, Baada ya kutafiti historia ya vita na uvamizi kupta kutokea duniani kwa zaidi ya miaka 1,700 iliyopita nimegundua kwamba vita vyote vimeanzishwa na mataifa yanayojiita...
Wakuu, heshima mbele.
Ninaimani kubwa katika jukwaa hili (hususan watu wanaoshiriki mijadal humu ndani).
Mimi sina Chale wala sijawahi kwenda kwa mganga yeyote kutafuta uchawi wala kujiganga...
Wakuu heshima kwenu!
Kwanza nieleze heshima zangu kwa jukwaa hili la kiitelejensia naamini hapa akili hutumika na hakuna jambo hushindikana hapa. Tumesikia majina ya walio iba fedha bank ya...
Kutokana na sperm/mbegu za uzazi
Qur'an 16:4
He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer!
Binadamu kaumbwa kwa udongo
Qur'an 15:26
We created man...
Japokuwa Mbwa anatajwa kuwa rafiki kipenzi cha binadamu, unapoamua kufuga mbwa unapambana na tatizo la kuchagua aina ya mbwa. Mbwa wawili ambao ndio kama wababe kwenye ulimwengu wa mbwa ni hawa...
Habari za sahizi wakuu wa JF?
leo asubuhi katika kusoma kwangu biblia nikapata kujiuliza maswali kidogo juu ya mamajusi au magi kwa kiingereza baada ya wao kuona nyota na kugundua kuna mfalme...
Habari wadau wngu wa J/intelijensia.
Awali ya yote ngoja niwape mkasa wa stori nilizozishuhudi kutoka kwa walevi wa pombe... tena pombe za kienyeji kule kijijini. "wapi wewe wabongo ndo tulivyo...
Some people make horrible decisions, others are just bad presidents, a few are bloodthirsty, many are extremists, a couple are warmongers, and all of these guys are a mix. Ten of our political...
NIMEKOPI KUTOKA KWENYE WEBSITE YAO www.tzprivateinvestigationagency.com/
INTRODUCTION
TPSC uses specialist intelligence teams who are able to procure information for private and corporate...
Wanajamii Forums,
Nataka Kujuzwa Mwanzilishi Wa Majina Ya Siku (Monday, Tuesday, Wednesday, Thursday, Friday, Saturday And Sunday) Majina Ya Mwezi [ January, February, March, April, May, June...
Na mimi naomba nianze na Mods; Dear Mods hiki ninachoandika ni facts based na sio sio maneno ya kuokoteza, nikipata picha tutatupia pia, naomba muivumilie tu.
Ndugu zangu yafuatayo ni matukio...
Miaka ya nyuma, makanisa mengi Ulaya yalikuwa na michoro ya Mama wa Yesu (Bikira Maria) na hata Yesu mwenyewe wakionyeshwa kama wenye muonekano wa asili ya kiafrika.
Hivi majuzi pia Pope...
nimekaa nimefikiri Nini maana ya maisha na maisha yana Thaman gani Duniani? Ukitazama kwa haraka binadamu Nimtunaona maisha ya duniani yana thamani, Ni thamani gani ya maisha tunayoishi hata...
Wakuu naomba tujue CV ya mkuu wetu wa jeshi la polisi nchini,yeyote anayejua CV yake atusaidie,ili tujue hawa polisi wanaongozwa na watu wenye elimu gani!