Habarini,
Kuna wimbi kubwa la WAAFRIKA wasiojitambua katika kutofautisha imani na ukweli kwenye maswala ya uumbaji hata baada ya kuwa wamesoma na kuelimika pasipo kutambua kuwa athari kubwa...
From book of john
Inspired by dune, frank Herbert
Are you ready,
Bado maamuzi ya lugha itakayotumika ndio changamoto,
Kiingereza kikitumika, waswahili watabaki nyuma lakini kiswahili...
Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo...
It has become clear from the literature of psychology in general and therapeutic psychology in particular that certain events in anyone's memory must occupy a central position and have a...
Mimi Ni Nani,Ni siri nzito na fumbo Kubwa
Yote yako Chini,Chini ya Bendera.Wapi?
Ebu kuta unajisoeza kwanza na NATURAL MYSTIC-BOB MARLEY Alafu tukapakue(Meza ya Coco the Rasta-alpha...
"The 7th Planet, Mercury Rising" ni kitabu kilichoandikwa na Zacharia Sitchin, mtaalamu maarufu wa nadharia za kale na ufasiri wa maandiko ya Mesopotamia. Sitchin alijulikana kwa kujikita katika...
Ninauweka wakfu uzi huu kwaajili ya ku-share mambo yanayohusiana na uvumbuzi, sayansi, teknolojia, na nature
leo naanza na hii
Sungura wa California wameanza kula nyama: utafiti mpya unaonyesha...
7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled
Source: ≡ 7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled ➤ Brain Berries
Archaeologists are not always faced with...
MAMBO YA KUZINGATIA
Usiruhusu hasira ikuendeshe. Kasirika lakini acha iende.
Huhitaji watu au vitu kuwa na furaha. vinaongeza tu furaha yako.
Watu ambao hawakupendi wanakupa...
Mimi ni mkristo nimelelewa katika ukristo tangu nikiwa mdogo.
Mwanzo tu wa biblia katika kitabu cha mwanzo 1:1-3a kunakuwa na makosa makubwa ambayo yamedumu karne na karne. Haya yalitokana na...
Bara la kupokea kila mgeni
Bara lenye rasilimali nyingi
Bara linalo heshimu na kunyenyekea ngozi nyeupe
Bara la kuana wenyewe kwa wenyewe
Bara lenye wajinga wengi
Bara lenye magonjwa yote...
Ninyi na rasilimali zenu safiii!!!
Hivi ikitokea mtu katekwa na watekaji aidha majambazi au magaidi, hao watekaji wakatoa tamko lao, kwamba "mtu wenu tunae, ila tutamuua kama hamtatimiza matakwa...
1.Great glaciation.
Great glaciation is the theory of the final state that our universe is heading toward. The universe has a limited supply of energy. According to this theory, when that energy...
Salute mate..
Huko china miaka ya 544BC alizaliwa bwana mmoja anaitwa Sun Wu, huyu bwana alikua jenerali wa jeshi la uchina ya zamani. Anafahamika zaidi kama Sun Tzu, alikua ni mtaalamu wa...
Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa...
Januari mwaka 2001 mapema kabisa kabla ya George Bush kuapishwa na kuwa rais wa Marekani, makamu wa rais, Bwana Dick Cheney alimtumia ujumbe waziri wa ulinzi, William S. Cohen ambaye aliwekwa hapo...
Nimeamua kuandika makala hii kwa heshima ya Jukwaa hili lakini pia kwa ajili ya kuchochea udadisi lengo likiwa kumpa kila asomaye uthubutu wa kutaka kufukiri nje ya Box.
Makala hii ni mjumuisho...
Biblia katika kitabu cha Mwanzo 1:2 inaeleza
Mwanzo 1
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Katika...
Nadharia ya Mchezo (Game Theory) – Maelezo, Mifano, na Matumizi
Nadharia ya Mchezo ni Nini?
Nadharia ya mchezo ni tawi la hisabati linalochunguza maamuzi ya kimkakati yanayofanywa na watu au...