Hali ya usalama wa Arusha inatisha sana sasa hivi, ujambazi, utapeli na uwizi vimerudi upya. Kuna kila style ya uwizi na kusikitisha ukienda polisi msaada si mkubwa kihivyo.
1. Kuna vijana...
Diplomats Help Push Sales of Jetliners on the Global Market
Source: New York Times 2 January 2011
Summary Boeing executives, at times, are pressed by foreign government officials and...
The Tanzanian prosecutor investigating worldwide misconduct by BAE, Britain's biggest arms company, confided to US diplomats that "his life may be in danger" and senior politicians in his small...
TABLE OF CONTENTS
LIST OF ACRONYMS/ ABBREVIATIONS
1 EXECUTIVE SUMMARY...........
2 INTRODUCTION AND BACKGROUND.
2.1 INTRODUCTION..............
2.2 NATIONAL HOUSING CORPORATION (NHC)
2.2.1...
By Staff writer
15th November 2009
BoT Twin Towers
Seven years ago, one man refused to succumb to pressure from his bosses when he stood up and questioned the inflated cost...
Kuna wizi mkubwa wa pesa za TRA zimeibiwa kupitia mtandao wa tra.go.tz, inasemekana pesa hizi zilikuwa ni malipo ya TRA toka kwa walipa kodi ambao ni TANESCO na TTCL
Naelewa gazeti laeast africa...
Kuna yeyeote anayejua kuhusu kifo? Nimewahi kusikia kuwa maiti inakataa kwenda kuzikwa aidha sehem flani kwa kuongezeka uzito zaidi, msafara kupata ajali, au kutokewa na mambo ya ajabu.
Hii imekaaje?
Kama mko serious kupiga vita UFISADI then mbona hawa hamuwazungumzii? Mnaogopa? basi msiogope mkiulizwa semeni nynyi pia mmeicopy from post ya GT sawa?
anyway, website yao kuhusu Tanzania...
Ndugu wana jamiiforum, jukwaa la intelligence, amani na iwe kwenu. Naombeni kusaidiwa kujua jambo hili kwa kina na mifano tosherevu.
Nikirejea katika biblia kitabu cha zaburi 16:4 linasema...
Binadamu mara nyingi akikutana na jambo( kitu) la ajabu la kushangaza au kuhuzunisha sana kuna swali huwa anajiuliza hata mimi binafsi nimejikuta kama mara mbili hvi ikinitokea.
Swali: Hivi naota...
Ukiachana na wanasayansi wanaotudanganya kila kukicha juu ya chimbuko la binadamu neno la Mungu linatueleza kwa kinagaubaga chimbuko la binadamu pamoja na viumbe hai wengine namna walivyoumbwa na...
Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule...
Sacked South Sudan Vice President Riek Machar has been spotted in Dodoma, Tanzania where he is allegedly seeking refuge.
A highly placed source told The Star that embattled Machar gained entry...
Ndoto yenyewe iko hivi..
"Nilikuwa nimekaa pembeni ya barabara, mara nikaona kundi la watu wengi japo si sana wakikimbia katika mstari, nikajiridhisha kwamba wako kwenye marathon yaani mashindano...
JUA KAZI INAYOKUFAA KULINGANA NA TAREHE YAKO YA KUZALIWA
siku ulio zaliwa inaashiria ni kazi gani ukifanya utapata mafanikio kimaisha, Mfano:-
Kama umezaliwa tarehe 1 ya mwezi wowote wewe...
habari waungwana!
Jana na leo alfajiri nimeota ndoto zimenistaajabisha kidogo,
Jana nimeota kua nimesingiziwa kuwa na mahusiano na mwanaume ambae sikumtambua kwa sura, basi ikawa kama...
Wajuzi wa mambo haya mje hapa kunipa elimu juu ya hili. Je,iko kichwani,kifuani,moyoni,miguuni au mikononi? Mtu anapokufa,'roho' hufanyaje?
Wakuu Kiranga Shy land na Ishmael nawakaribisha...
Wazungu wameendelea na wana utamaduni ambao wote leo hii tunauiga au tunataka kuuiga lkn kama ulikuwa haufahamu Wazungu wameendelea kwa sababu ya UKRISTO, yaani mfumo wa Kizungu ni kwamba...
Wakuu habari zenu!
Nimeona nilete hii mada ili tuweze kuijadili na kupata ukweli na uzoefu kutoka kwa watu mbali mbali. Hivi, maneno ya wosia anayoacha marehemu kwa watu waliobaki huwa yana...